reject

vt 1 kana; kataa. 2 tupa; ~ food tapika. rejection n 1 mtu/kitu kilichokataliwa k.m. mali mbovu export ~ion bidhaa zilizokusudiwa kusafirishwa nje lakini zikakataliwa kutokana na kasoro/uhafifu au uduni wake. 2 kukatalia; kukataliwa.