reincarnate

vt -pa roho mwili mpya adj -a kuzaliwa upya (roho) katika mwili wa kiumbe mwingine. reincarnation n (Rel) imani kuwa roho ya marehemu huingia katika mwili wa mtu mwingine.