rehabilitate

vt 1 (of building) karabati, tengeneza upya. 2 rudisha cheo/ heshima/sifa njema; safisha. 3 (of a disabled person, etc) wezesha kuishi maisha ya kawaida. rehabilitation n.