regular

adj 1 -a kawaida, -a mazoea; -a kila siku ~ customer mteja wa kila siku ~ hours saa za kawaida ~ habits mazoea. 2 -enye sifa zinazotambulika/ zinazokubalika; -liopata mafunzo. 3 -enye kukubalika ~ procedure utaratibu unaokubalika. 4 -enye kufuata mpango, -enye utaratibu unaooana. 5 -enye kulingana na viwango vilivyokubaliwa. 6 (rel) -enye kufuata sheria za dini. 7 (colloq) kamili, kabisa. 8 (gram) -enye minyambuliko na mabadiliko ya kawaida. 9 -a kutokea/kufanyika/ kufanya mara kwa mara. 10 linganifu. 11 (colloq) safi, nzuri. regularize vt rekebisha, halalisha, panga/fanya kulingana na kanuni. regularization n.