regiment

n 1 rejimenti: kikosi chini ya kanali. 2 (fig) ~ of jeshi ~ of red ants jeshi la siafu. vt shurutisha, amuru. regimentation n hali ya kuwa chini ya uongozi au udhibiti wa mtu mwingine; nidhamu kali ya kisiasa; udhibiti mkali. regimental adj -a kuhusu rejimenti. n (pl) mavazi ya askari wa rejimenti moja; mavazi ya kijeshi.