regent

n 1 kaimu, mtawala wa muda (badala ya mfalme); mtawala mshikiliaji. 2 (US) mjumbe wa Halmashauri (ya Chuo Kikuu cha jimbo, n.k.). regency n utawala wa pahala pa mfalme mwenyewe; kushikilia.