refrigerate

vt fanya kuwa baridi; hifadhi chakula katika hali ya kutoharibika (kwa kukifanya kiwe katika baridi isiyobadilikabadilika); gandisha. refrigerant n kituliza joto, kipoza joto. refrigeration n utiaji kitu baridi. refrigerator n friji, jokofu, jorafu.