refresh

vt 1 burudisha/fariji, changamsha. 2 leta nguvu mpya; fanya mpya. 3 kumbusha. ~ one's memory jikumbusha. 4 ~ oneself kula, kunywa. refreshing adj -a kuburudisha, -zuri. refreshingly adv. refresher n 1 (leg) ada ya ziada (alipwayo wakili wakati kesi bado inaendelea). 2 (colloq) kiburudisho, kinywaji. 3 kiamsha akili; kinoa ubongo a ~er course kozi ya kunoa ubongo, kozi ya kupiga msasa. refreshment n 1 chakula, kinywaji, kiburudishacho have some ~ment pata kiburudisho. 2 hali ya kuburudika.