refrain

refrain

1 vi ~ (from) jizuia, epuka, acha (kufanya) please ~ from smoking tafadhali acha kuvuta sigara; usivute sigara please ~ from spitting tafadhali usiteme mate.

refrain

2 n kiitikio, kipokeo.