refine

vt 1 takasa; safisha. 2 (civilize) adilisha; fanya ungwana; staarabisha. 3 ~ upon fanya kuwa nzuri zaidi; rekebisha. refined adj. refined sugar n sukari safi. refinement n 1 utakaso; usafi; uhalisi ~ment of language ufasaha wa lugha. 2 adabu, ustaarabu, uungwana, makini, malezi mazuri. refiner n msafishaji; kinu cha kusafisha sukari, metali n.k. refinery n kiwanda cha kusafisha sukari, metali, n.k.