redundant

adj 1 -siohitajika; -a kuzidi, -a ziada. redundance, redundancy n uziada; (pl redundacies) kufukuzwa kazi (kwa sababu ya kupunguza nafasi). redundancy pay n malipo ya mfanyakazi anayepunguzwa kazi.