red

adj 1 -ekundu. see ~ shindwa kujizuia kwa sababu ya hasira au kuonewa. paint the town ~ (colloq) enda kustarehe kwa shangwe na vifijo. ~ carpet n zulia jekundu (kwa ajili ya wageni wa heshima) ~ carpet welcome mapokezi makubwa. 2 (of Russia) R~ Army n Jeshi la Urusi (wakati wa mapinduzi). 3 (with compounds) R~ bricks n (UK) vyuo vilivyoanzishwa karne ya 19 na baadaye. redcap n (UK) polisi wa jeshi; (US) mbeba mzigo katika kituo cha reli. redcoat n askari wa Uingereza. R~ Cresent n (in Muslim countries) (mwezi mwekundu). R~ cross n Msalaba Mwekundu: Chama cha Kimataifa cha kuwasaidia waliofikwa na maafa. ~deer n aina ya swala wapatikanao Ulaya na Asia. ~ensign (or colloq ~duster) n bendera nyekundu yenye bendera ya Kiingereza pembeni mwake (itumiwayo na meli za wafanyibiashara wa Uingereza). ~flag n bendera ya hatari; alama ya mapinduzi. ~ handed adv papohapo (penye kitendo) catch ~ handed fuma; adv fumania. ~ hat n kofia ya kadinali. redhead n mtu mwenye nywele nyekundu. ~herring n aina ya samaki wa maji ya chumvi aliyekaushwa kwa moshi; (fig) jambo la kupoteza lengo. draw a ~ herring across the trail poteza lengo (kwa kuleta mambo yasiyohusika). neither fish, flesh, nor good ~ herring -siyoeleweka. ~ hot adj (of a metal) -enye moto sana (hata kuwa nyekundu); (fig) -liohemkwa, -liochachafika; -lioghadhabika sana. ~ Indian n (arch) Mhindi Mwekundu, Mmarekani wa asili. ~lead n kipande cha risasi nyekundu. ~-letter day n sikukuu; siku ya kumbukumbu. ~ light n taa nyekundu; alama ya hatari. see the ~ light tambua hatari. ~-light district n mtaa wa makahaba, danguro. ~ meat n nyama ya ng'ombe, mbuzi, kondoo n.k. ~ pepper n pilipili hoho. ~ rag n. like a ~ rag to a bull kichocheo, hasira. ~ tape n (fig) urasimu. n 1 rangi nyekundu. 2 nguo nyekundu. 3 (colloq) mkomunisti, mfuasi wa ukomunisti. 4 (comm) upande wa madeni katika mahesabu. be in the ~ ishiwa; -wa na madeni. redden vt,vi tia wekundu; -wa -ekundu, iva usoni. reddish adj -ekundu kidogo.