recruit

n (of army) kuruta, askari mpya (anayejiunga); (of a party) mwanachama mpya. vt 1 (of military, association, etc) andikisha. 2 pata kiasi/nafasi ya kutosha. 3 rudisha katika hali ya kawaida. recruitment n 1 uandikishaji wa askari au wanachama.