recover

recover

1 vt,vi 1 pata tena (kitu kilichopotea) ~ consciousness pata fahamu tena baada ya kuzimia ~ oneself jikaza. 2 ~ (from) pona, pata nafuu/ashekali/ahueni. recoverable adj -enye kupatikana tena. recovery n kupata tena; kupata nafuu tena.

recover

2 vt funika tena/upya.