reconcile

vt 1 somebody (with somebody) patanisha; suluhisha. 2 ~ something (with something) linganisha. 3 be ~d to something kubali kuvumilia; ridhi. reconcilable adj. reconciliation n upatanisho, suluhisho; suluhu. reconciliatory adj suluhishi, -a kupatanisha.