recoil

vi 1 ~ (from) rudi nyuma, jivuta nyuma. 2 (of a gun) rejea nyuma baada ya kutoka risasi. 3 (shrink) nywea; ogopa sana; kwepa, kimbia, sita. 4 ~ on/ upon rudi. n kurudi nyuma; kurejea.