recognize

vt 1 jua; tambua; fahamu, maizi he ~d the danger of the journey alitambua kuwa safari ilikuwa ya hatari ~ a new government tambua serikali mpya. 2 (acknowledge) ungama; kiri, kubali. recognizably adv. recognition n utambuzi. alter/change beyond/out of (all) recognition badilika kabisa mpaka kutotambulika. recognizable adj -a kutambulika, -a kufahamika, -a kujulikana he is no longer recognizable hatambuliki tena.