reclaim

vt 1 rudisha katika hali nzuri (k.m. ardhi) the desert was ~ed by hard work jangwa lililimika baada ya kudhibitiwa kwa kazi kubwa. 2 dai kitu fulani kirudishwe. 3 (reform) ongoa, hidi. reclaimable adj. reclamation n.