reckon

vt,vi 1 hesabu. ~ up jumlisha. ~ something in ingiza katika jumla. 2 ~ on (upon) tegemea. 3 ~ with somebody shughulikia, lipiza; (take into account) zingatia, fikiria. 4 ~ somebody/something as/to be; ~ that dhania; fikiria. reckoner n. reckoning n 1 orodha ya madai (hasa ya hoteli). day of ~ing siku ya kulipa madeni (ya makosa); kiyama. 2 (of ship) kisa.