recite

vt 1 tongoa; ghani. 2 (repeat by heart) kariri (sema kimoyomoyo); soma kwa ghaibu; (narrate) simulia; nena, toa habari ya; (publically) soma mbele ya watu. 3 orodhesha. reciter n. recital n 1 kitendo cha kutongoa; kughani; maonyesho (agh ya muziki). 2 kisa, masimulizi. recitation n 1 utongoaji; kughani; mashairi yanayotongolewa. 2 masimulizi. recitative n (mus) mtindo wa muziki ambao ni mchanganyiko wa kusema na kuimba.