reciprocate

vt,vi 1 rudisha, lipa, lipiza (k.m. fadhila, msaada, n.k.). 2 peana, tendeana. 3 (of parts of machine) enda mbele na nyuma. reciprocation n kutendeana sawa sawa. reciprocal adj 1 -a kukubaliana; -a kupeana; -a wao; kwa wao, -a kubadilishana reciprocal affection. n upendanaji reciprocal ~ agreement mapatano ya kukubalina. 2 -a kukubaliana kinyume. 3 (gram) -a kutendana/kutendeana.reciprocally adv. reciprocal n (maths) kinyume katika kuzidisha. reciprocity n kutendana/kutendeana.