recess

n 1 kipindi cha mapumziko. 2 mafichoni, shubaka, kidaka. vt,vi 1 pumzika. 2 weka nyuma. recession n 1 (comm) kupungua/kushuka kwa uchumi/mdororo (wa uchumi). 2 kitendo cha kutoweko; kurudi nyuma.recessional adj -a mapumziko (ya bunge). recessional n (hymn) wimbo wa mwisho. recessive adj 1 -a kupungua; -a kurudi nyuma; (bio) -a selipumbazi.