recall
vt 1 ~ somebody (from/to) ita tena; rudisha. 2 kumbuka. 3 tangua, batilisha. 4 (poetic) (revive) fufua. n 1 amri ya kurudi. beyond/past ~ -sioweza kurudi, -siofanyika tena; -siyobatilika. 2 (military) alama (filimbi n.k.); mbiu ya kurudi. 3 uwezo wa kukumbuka.