rebuff

vt hakirisha, puuza; kataa kwa dharau. n ukataaji wa kitu kikatili na kwa dharau; kupuuza, kupuuzwa. ~ to hakirisha, dhalilisha. meet with/suffer a ~ pata jibu kali na la dharau.