reason

n 1 (intellect) akili; mantiki. lose one's ~ pata kichaa/wazimu. 2 (ground) sababu, kisa; madhumuni. by ~ of kwa sababu/madhumuni ya. 3 (sense) maana; (truth) kweli; (fairness) haki; (right) adili; urazini. bring somebody to ~ shawishi mtu aache mambo ya kijinga/kipuuzi. it stands to ~ imebainika, ni wazi. do anything within ~ fanya chochote chenye maana (cha kiasi); zindua there is no ~ in what you say usemayo hayana msingi/mashiko. listen to/hear ~ sikiliza ushauri. ~ less adj sio na akili. vi 1 tumia akili, fikiri, waza. 2 ~ with somebody toa sababu/hoja (ili kumshawishi mtu). ~ out fikiri kwa kutumia mantiki. 3 ~ that toa hoja kwamba. 4 jenga hoja. lose all ~ kosa akili kabisa. reasonable adj 1 -a akili, -a maana; tayari kusikia hoja. 2 -a kiasi, -a kutosha beyond ~ able doubt bila shaka yoyote ~ able excuse udhuru wa maana. reasoning n hoja; utoaji hoja; (intellectual process) uwazaji wa kimantiki; kufikiri; fikira adj -enye weledi.