rear

rear

1 n 1 nyuma. bring up the ~ -wa mwisho take the enemy in the ~ shambulia adui toka nyuma. 2 (colloq) matako. 3 ~ admiral n ofisa wa jeshi la majini chini ya Makamu wa Mkuu wa jeshi la majini. ~ guard n askari walindao nyuma ya jeshi. a ~ guard action n mapigano baina ya jeshi linalorudi nyuma na adui. ~ mirror n kioo cha kutazamia nyuma (katika gari). ~ most adj mwisho kabisa. rearwards adv kwa nyuma, kuelekea nyuma.

rear

2 vt 1 lea, fuga. 2 simamisha, inua. 3 (of horse) simama (kwa miguu ya nyuma). 4 (of a monument) jenga.