reap

vt vuna; chuma; (obtain) pata, pewa ~ where one has not sown patafaida/sifa kwa kazi ya mwingine. sow the wind and ~ the whirlwind vuna (kibaya) ulichopanda. reaper n mvunaji. ~ing-hook n mundu wa kufyekea. ~ing -machine n mashine ya kuvunia.