realize

vt 1 elewa, tambua. 2 fanikisha ~ one's hopes fanikisha matumaini. 3 pata (faida, bei). 4 badilisha mali/ hisa kwa fedha. realizable adj -a kupatikana; -a kufanyika; -a kuwezekana it is ~ yaweza kufanyika. realization n 1 utambuzi. 2 matunda, matokeo. 3 kitendo cha kubadilisha mali kwa fedha.