reagent

n (chem) 1 kitendanishi: kitu cha kikemikali kisababishacho au kiletacho utendanaji wa kikemikali. 2 kitu kibainishacho kitu kingine.