react

vi 1 ~ to jibu; onyesha hisia; pokea; furahia ~ed to the article alijibu makala the audience ~ed well to the play hadhira iliufurahia mchezo. 2 ~ on/upon athiri acid ~s on metal asidi huathiri metali. 3 ~ against pinga, kataa, kacha; geukia. reaction n 1 jibu, mjibizo what was his ~ ion to the news? alizichukuliaje habari hizo. 2 athari. 3 upingaji mabadiliko/maendeleo; hali ya kurudi nyuma. reactionary adj -a kupinga maendeleo. n mpinga maendeleo/mabadiliko/mageuzi. reactivate vt fufua. reactor n. nuclear ~ or n tanuri nyuklia; kinu kidhibiti nyuklia; mlundikano wa atomu.