raven

raven

1 n mdege mkubwa mweusi (hufanana na kunguru) adj -enye weusi ung'aao. ~ locks n nywele nyeusi.

raven

2 vt 1 paparika ovyo kwa kutafuta chakula. 2 lafua. 3 pora. ravening adj -kali, kinyama (kwenye chakula); lafi. ravenous adj 1 -enye njaa kali. 2 -a kulafua, lafi; -enye pupa. ravenously adv.