rave

vi 1 ~ (at/against/about something) sema kwa hasira, payapaya. 2 ~ about somebody/something sifia sana (bila kufikiri); sema kwa furaha iliyokifu (hata ukaonekana mjinga) (juu ya kitu). 3 ~ it up (sl) -la starehe. rave-up n sherehe ya kusisimua n 1 (colloq) sifa nyingi. 2 (sl) sherehe, safari, dansi ya kusisimua. 3 shauku kuu raving adj -enye kupayuka, -enye kupayapaya adv kiwendawazimu, kichakaramu. ravings n mazungumzo ya kiwendawazimu.