ravage

vt,vi 1 teketeza, haribu a house ~d by fire jumba lililoteketezwa kwa moto. 2 (of armies, etc.) angamiza; nyang'anya mali kwa fujo na ghasia. (pl) ~s of n 1 maangamizi, uharibifu. 2 (pl) athari (zinazoleta uharibifu/ madhara) the ~s of heavy rains athari/ madhara ya mvua kubwa. ravager n mwangamizi, mharibifu.