rational

adj 1 razini, -a kirazini. 2 -enye kuweza kufikiri kirazini. 3 -a kimantiki. 4 (maths) -a uwiano ~ expression uonyesho wiano. ~ number n namba wiano. rationally adv. rationality n taamuli, busara, mantiki. rationale n urazini, sababu ya msingi. rationalism n falsafa mantiki. rationalist n mrazini. rationalistic adj. rationalize vt 1 tazama jambo kimantiki, razini(sha). ~ize ones's fears/behaviour jipa moyo. 2 (of industry etc) panga upya (ili kuzuia ufujaji mali au kuepuka mambo). rationalization n.