ransom

n fidia/malipo ya kukomboa mateka. hold one to ~ teka mtu na kudai malipo (ili kumwachia huru). worth a king's ~ -enye bei/thamani kubwa sana. vt komboa mtu kwa kulipa fedha.