rank

rank

1 n 1 safu (ya watu au vitu). 2 safu ya askari. keep/break the ~ -wa/toka katika msitari. 3 the ~s; the ~ and file; other ~s n askari wa kawaida he has risen from the ~s amepandishwa cheo na kuwa ofisa. be reduced to the ~s fanywa askari wa kawaida. (US) the ~ing officer n ofisa mwenye cheo cha juu aliyepo. 4 cheo, kiwango, daraja, tabaka high ~ cheo kikubwa, daraja bora he was promoted to the ~ of sergeant alipandishwa cheo cha usajini. pull ~s on somebody tumia cheo/madaraka (juu ya/ kumshinda mtu mwingine). vt,vi 1 weka (katika matabaka, safu, n.k). 2 -wa na cheo, wadhifa, n.k.

rank

2 adj 1 (of plants) -enye majani mengi mno; (of land) -lio na magugu mengi. 2 (strong smelling) -a kuvunda, -a kunuka. 3 baya kabisa, -a kupita kiasi a ~ idler mvivu kabisa a~ liar mwongo sana. rankly adv. ~ ness n.