range
range
1 n 1 safu (hasa ya milima); mlolongo wa vitu ~ of mountains safu ya milima. 2 uwanja wa shabaha. 3 mfiko, mtupo (wa risasi ya mzinga, bunduki) out of rifle ~ nje ya mtupo wa risasi ya bunduki at short ~ kwa karibu at long ~ kwa mbali, baidi take the ~ piga shabaha. ~-finder n kitafuta umbali/masafa. 4 umbali ambao mtu anaweza kuona au kusikia, au sauti inakoweza kufika. 5 eneo; kadiri a wide ~ of prices bei anuwai a wide ~ of colours rangi anuwai the annual ~ of temperature kadiri ya vipimo vya joto vya mwaka. 6 (space) nafasi. 7 jiko kubwa (lenye oveni, pleti, n.k.). 8 eneo la kuchungia au uwanda wa kuwindia.range
2 vt,vi 1 (arrange) panga. 2 ~ (through/over) tembea, zunguka, tangatanga, zurura; zungumzia. 3 (extend) fikia, enea. 4 (of guns) fikia umbali/masafa fulani. ranger n 1 mhifadhi, mwangalizi wa hifadhi ya msitu na mbuga za wanyama. 2 (US) askari polisi mpanda farasi. 3 (US) komando.