rampant

adj 1 (of disease, social evils, etc.) -a kuenea pote, -liotapakaa. 2 (of animals) -enye kusimamia miguu ya nyuma tu. 3 (of plants etc.) -a kuenea kwa haraka na majani mengi. rampancy n.