ramp
ramp
1 n 1 mahali penye hanamu, mteremko wa kushukia au kupandia (k.m. hospitalini n.k.). 2 ngazi ya (kushukia au kuingilia) ndege. 3 tuta.ramp
2 n 1 hila ya kupandisha bei. 2 (swindle) madanganyo, ulaghai.ramp
3 vt ~ about (usu joc.) vamia, fanya vurumai; charuka.