ramify

vi 1 gawanyika katika matawi; zaa matawi. 2 fanya kimia; enea. ramification n kipengee (cha kitu kilicho tata).