ram

n 1 kondoo dume (asiyehasiwa). 2 mtambo wa kusukumia/kubomolea. 3 (of warship) mdomo wa manowari (uliochongoka na utumiwao kutobolea ubavu wa meli ya adui). vt 1 shindilia, shindika. ~ something down one's throat gongomeza; mwambie jambo mara nyingi mpaka akubali. 2 (of a warship) ponda mbavu, piga kwa nguvu. ramrod n mdeki.