rally
rally
1 vt,vi 1 ungana; unganika; kusanya; kusanyika; anza upya. 2 pata moyo/nguvu; tengenezesha; kusanya tena, rudisha ~ one's wits pata nguvu tena. n 1 (kitendo cha) kujikusanya tena; kupata nguvu upya; kupata afua ya ugonjwa. 2 (in tennis) kurudishiana mapigo ya mpira kwa muda mrefu (kabla ya mmoja kufunga mwenzake). 3 mkusanyiko mkubwa wa watu (hasa uliokusudia kuamsha nguvu mpya). 4 (car) mashindano ya motokaa.rally
2 vt tania.