rake
rake
1 n reki: zana yenye meno itumiwayo kuokotea taka; chombo kitumikacho kuzolea fedha kutoka meza ya kamari. vt 1 sawazisha, palilia au vunjavunja ardhi (kwa reki). 2 pata/chukua ~ together dead leaves chakura na kukusanya majani yaliyorundikana ~ out the fire toa majivu mekoni. ~ off n (sl) bakshishi, mgawanyo wa faida (usio halali). ~ something in (fig) chuma, pata pesa nyingi. ~ something up fichua; fufua. 3 ~ (over/ through) something tafuta sana katika makaratasi yako habari hiyo muhimu. ~ one's memory jaribu kukumbuka sana. 4 piga kwa bunduki na mizinga kutoka upande mmoja hadi mwingine.rake
2 n kijogoo, mfisadi, mwasherati. rakish adj 1 -a uasherati, zinifu. 2 kichale, -a madaha, kimadaha.rake
3 n (slope) (naut) hanamu, mwinamo. vt vi enda hanamu. rakish adj (of ship) -a mjengeko mzuri/ malidadi na -a kuonekana; -enye kasi.