raise

n nyongeza (ya mshahara n.k.). vt 1 inua, pandisha, kweza ~ in pay pandisha mshahara. ~ glass to kunywa (kwa afya ya), takia heri. ~ one's hand jongea kama utakaye kumpiga mtu. ~ somebody's hopes pa mtu tumaini. ~ a man to the peerage teua kuwa lodi. ~ the temperature ongeza joto; (fig) ongeza mvutano, ongeza hali ya wasiwasi (kwa kuhamaki, kugomba, n.k.). ~ one's voice paaza/pandisha (sauti). 2 inua, nyanyua. ~ somebody from the dead fufua. 3 sababisha, fanya kutokea. ~ dust/ commotion (sl) sababisha fujo. ~ a laugh fanya kitu cha kuchekesha. ~ cain/hell the devil/the roof (sl) fanya/anzisha fujo. 4 leta mjadala/ dakizo. ~ a new point leta mjadala mpya, dakiza. 5 (crops) otesha, lima; (animals) fuga; (children) lea. 6 (money, loans etc) pata, kopa, kusanya, changa. ~ an army andaa jeshi. ~ funds for changa pesa. 7 ongeza, kuza. ~ an embargo ondoa vikwazo. ~a siege/blockade acha uvamizi. 8 (naut.) ~ land ona nchi kavu.