rain
n 1 mvua. long ~s n masika. lesser ~s n vuli. the ~s n mvua za mwaka ~ or shine inyeshe isinyeshe. rainbow n upinde wa mvua. ~cloud n ghubari. raincoat n koti la mvua. ~ drop n tone la mvua. rainfall n mvua; kiasi cha mvua. ~ forest n msitu wa mvua. ~-gauge n kipimamvua. ~-maker n mgimbi. ~-proof adj -siopenya mvua. ~-shadow n 1 ukame, demani. 2 (fig) raincheck tiketi/hundi rubuni; ahadi (ya kufanya tena). ~ vi,vt 1 nya, nyesha. ~ cats and dogs nyesha kwa wingi. 2 ~ something on/ upon toa kwa wingi. 3 tiririka the tears ~ed down her cheek machozi yalim-tiririka. rainy adj -enye mvua nyingi. save/provide/put away/keep something for a ~y day weka akiba kwa siku za shida.