raid

n 1 shambulio la ghafla la vita. 2 uvamizi wa polisi. 3 shambulio la kupora fedha. vt,vi 1 shambulia. 2 vamia. 3 pora. raider n mtu, meli, chombo n.k. kifanyacho mashambulio.