rage

n 1 ghadhabu, kiruu, hasira kali. be in/fly into a ~ with something kasirikia sana mtu. 2 tamaa, uchu. all the ~ shauku kubwa ya kitu. ~ for kuwa shabiki wa. 3 be (all) the ~ (colloq) tamaniwa sana, shabikiwa sana. vt,vi 1 kasirika sana, ghadhibika, hamaki. 2 (of storm) chafuka, sukasuka. 3 (of disease) endelea vikali, chaga, -wa kali sana.