radio

radio

1 n 1 redio. 2 simu ya upepo. 3 matangazo ya redio. ~link n matangazo ya redio yanayounganisha sawia watu wa miji tafauti. radiogram; ~gramophone n rediogramu. 4 ~ telescope n darubini inayogundua nyota, sayari, n.k. kwa kutumia mawimbi na mwangi wa redio. ~set n chombo cha kupatia habari (katika meli, ndege n.k.).

radio

2 (pref) -a miali, -a radiamu. radio-active adj nururishi, -enye uwezo wa kunururisha. ~-activity n unururifu, chembe alfa au chembe beta za mnururisho. radiograph n picha ya eksirei (miale-X). radiographer n mtaalamu wa picha za eksirei (miale-X). radiography n fani ya upigaji picha za eksirei (miale-X). radioisotope n isotopu (redio). radiolocation n rada. radiology n rediolojia: taaluma inayohusu eksirei (miale-X) na radiamu nyingine. radiologist n mtaalamu wa eksirei (miale-X). radiotherapy n tibaredio: matibabu kwa njia ya eksirei. radiotherapist n mtaalamu wa tibaredio. ~copy n see radiology. ~ telephone n simu ya redio. ~ telegraph n simu ya upepo ya redio. ~ telegram n telegramu ya redio.