radical

adj 1 -a kiini, -a msingi; -a mzizi. 2 (politics) -a siasa kali. n 1 mtu mwenye siasa kali. 2 (maths) kipeo; (chem) radikali. radicalism n siasa kali. radically adv kimsingi; sana, kabisa.