radiate

vt 1 nururisha. 2 ~ from ingia na kutoka katika umbo la miali; onyesha. 3 sambaa kama nusuvipenyo. radiation n mnururisho. radiant adj 1 -enye kupeleka miali ya mwanga; angavu, -a kung'aa, ng'avu. 2 (of person) ng'avu, -enye kuonyesha furaha/ upendo. 3 (Phys) -liosafirishwa kwa miali radiant energy nishati ng'avu. radiance n. radial adj -enye kuhusu miali au nusu kipenyo; -a miali; -liopangwa kama miali au nusu kipenyo. radially adv.